Enock Maregesi Quotes That Will Inspire You to Live Your Best Life
Enock Maregesi quotes that inspire a great attitude towards life That Will Inspire You to Live Your Best Life
1. El mayor obstáculo para el éxito es la pesadilla. Tendrás que soportar la pesadilla de tener éxito.
Author:- Enock Maregesi
Category:- success
2. Imani ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana na hupeleka watu kwenye ukweli. Kuamini hupotosha, na ni nia ya kudharau kinachoweza kujulikana.
Author:- Enock Maregesi
Category:- truth
3. Palestina ni nchi ya Waisraeli waliyopewa na Mungu wa Yakobo. Hata hivyo, hawakutimiza masharti. Mungu aliwaagiza kuua kila mtu katika nchi ya Kaanani na miji yake yote. Waisraeli, wakiongozwa na Yoshua, waliua watu wengi katika nchi ya Kaanani. Hawakuua kila mtu katika miji ya Ashdodi, Gathi na Ukanda wa Gaza kama walivyoagizwa. Mungu alimwambia Ibrahimu kuwa angempa yeye na uzao wake nchi ya Kaanani kuwa milki yao ya milele, na kuwa Yeye ndiye angekuwa Mungu wao daima. Vita ya Israeli na Palestina itamalizwa na Mungu. Itamalizwa na hekima.
Author:- Enock Maregesi
Category:- wisdom
4. Sina jinsi. Nguzo ya maisha yangu ni historia ya maisha yangu. Historia ya maisha yangu ni urithi wa watu waliojifunza kusema hapana kwa ndiyo nyingi – waliojitolea vitu vingi katika maisha yao kunifikisha hapa nilipo leo – walionifundisha falsafa ya kushindwa si hiari. Siri ya mafanikio yangu ni kujitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu wote; au 'pushing the envelope' kwa lugha ya kigeni.
Author:- Enock Maregesi
Category:- success
5. Tanzania ina majanga mawili kuhusiana na UVIKO-19: Janga la Korona na janga la watu wasiotaka kuchanjwa! Nisikilize! Kataa kwa hekima! Acha Mungu achanjwe kwa niaba yako!
Author:- Enock Maregesi
Category:- wisdom
6. Wasifu wa viongozi wa Kolonia Santita ni siri kwa sababu siri ni siri ya mafanikio.
Author:- Enock Maregesi
Category:- success
7. Sina jinsi. Nguzo ya maisha yangu ni historia ya maisha yangu. Historia ya maisha yangu ni urithi wa watu waliojifunza kusema hapana kwa ndiyo nyingi – waliojitolea vitu vingi katika maisha yao kunifikisha hapa nilipo leo – walionifundisha falsafa ya kushindwa si hiari. Siri ya mafanikio yangu ni kujitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu wote; au 'pushing the envelope' kwa lugha ya kigeni.
Author:- Enock Maregesi
Category:- philosophy
8. There are many internal secrets that make a person continue to succeed, and there are many external secrets that make a person continue to hide their secrets. Internal secrets are true secrets, while the outer secrets are false secrets, aimed at hiding the truth. However, the secret to success is hard work, knowledge and secrecy.
Author:- Enock Maregesi
Category:- knowledge
9. Tunapenda kuamini kwa sababu kuamini hurahisisha mambo… Usiamini. Jua.
Author:- Enock Maregesi
Category:- knowledge
